The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Mashindano ya Qur An Tukufu kutoka Dar es salaam

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Mei 26, amehudhuria katika Fainali za tuzo za kimataifa za kuhifadhi Quraan Tukufu Tanzania kwa mara ya 27, zinazofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee… Fainali hizo zimehudhuriwa pia na Waziri wa Ulinzi, Dkt Hussein Mwinyi, Makamu wa Rais Mstaafu, Gharib Bilali na Shehe Mkuu wa mkoa wa Dar, Alhad Mussa Salim.

LIVE: Waziri MKUU Katika FAINALI Za Kuhifadhi QURAAN – Diamond Jubilee

Comments are closed.