The House of Favourite Newspapers

Video Mpya Ya ‘Wajuria’ Kutoka Kwa Msanii Clion Odhiambo

0
MSANII, Clion Odhiambo ametoa video ya wimbo wake mpya wa ‘WAJURIA’ wenye maudhui kuelimisha na kuburudisha kwa njia ya dini.
Wimbo huu ni kwa ajili ya kuwarejesha watu katika njia ya wokovu, waache dhambi hatimaye wafike mbinguni.
Kwenye mitandao ya kijamii anatumia jina la Odhiambo Clion Mjoli -Facebook na YouTube anatumia Clion Odhiambo

Leave A Reply