The House of Favourite Newspapers

Video: Mwanafunzi Amkuna JPM, Ampa Milioni 5 – Video

0

Rais John Pombe Magufuli akiwa na msichana Salma Yasini, Kiongozi wa wanafunzi wa Shule ya msingi ya Iseni B ambaye amemkabidhi Tsh. Milioni 5. Fedha hizo ni sehemu ya mchango wake kusaidia ujenzi wa vyoo na madarasa shuleni hapo.

Wanafunzi hao walijikitokea kwenye sherehe za uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kigongo-Busisi lenye urefu wa Kilomita 3.2, sherehe iliyofanyika Kigongo jijini Mwanza leo Desemba 7, 2019.

Leave A Reply