The House of Favourite Newspapers

Video: Nape Aichambua Miradi Ya Serikali, Kisa Deni la Taifa Kuongezeka!

0


Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema miradi ya ujenzi wa reli ya kisasa (standard gauge), mradi wa kufua umeme wa Steiglers Gorge sambamba na ununuzi wa ndege mpya, itauua uchumi kwa kuwa inatumia mabilioni ya pesa ambapo miradi ilipaswa ihusishe wawekezaji badala ya kutumia pesa nyingi za serikali.

Leave A Reply