VIDEO: NIMEMFUNIKA DIAMOND Kwenye BAILA, Mimi MKALI” – KASSAM

Mwanamuziki chipukizi kwenye game ya Bongo Fleva, KASSAM amesema yeye ni mkali kuliko, LAVALAVA, japo watu wana wafananisha kwa sauti zao. Msanii huyo ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake iitwayo RHODA, pia ameamewahi kufanya cover ya ngoma ya Diamond Platnumz iitwayo BAILA..

Loading...

Toa comment