The House of Favourite Newspapers

Video: Rais Magufuli Azindua Hoteli ya Bakhresa Zanzibar

0

Rais Dkt. Jonh Magufuli anafungua hoteli yenye hadhi ya nyota tano iitwayo Hotel Verde Azam Luxury Resort and Spa iliyopo Mtoni.

“Nimefurahi kuja hapa Zanzibar kwasababu kuna zile rangi ambazo zinanifurahisha kwenye macho, tangu jana na leo ninaziona tu, kuna rangi nikiziona yaani najisikia vizuri sana kwenye moyo, yaani kwakweli hongereni sana wenye rangi hizi.

“Natoa wito kwa Watanzania kuiga mfano wa Said Salim Bakhresa hakuzaliwa tajiri, alizaliwa maskini kwa watu wanaomjua historia yake wanaweza wakaeleza.

“Lakini aliamua kufanya kazi kwa bidii akawa mvumilivu na leo hii ni miongoni mwa matajiri wakubwa hapa nchini, Watanzania igeni mfano wake kwa kufanya kazi kwa bidii na kujituma,” anmesema Rais Magufuli.

 

Leave A Reply