Video: Rais Samia Amsaidia Haitham Kim -Harmonize Athibitisha Kupitia Mwana-Fa
MSANII wa kizazi kipya, Haitham Ghazal Seif @haithamkim amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Msanii Haitham Alazwa ICU Katika Hospitali ya Temeke, Aomba Msaada