The House of Favourite Newspapers

Msanii Haitham Alazwa ICU Katika Hospitali ya Temeke, Aomba Msaada

0
Msanii wa Bongo Fleva, Haitham Kim.

MSANII wa kizazi kipya, Haitham Ghazal Seif @haithamkim amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Taarifa za awali kutoka kwa mtu wake wa karibu @niiteboshen akiongea na Global Digital zinasema kuwa hali ya msanii huyo ni mbaya huku gharama za matibabu yake zikiwa juu.

Kwa yeyote atakayeguswa na kumchangia msanii huyo
Namba: 0789635800
Jina: Bryson Peter Mtei (Mtu wake wa karibu).

National Bank of Commerce account 011174034416 (Haitham Ghazal Seif).

Leave A Reply