The House of Favourite Newspapers

Video: RC MGHWIRA AELEZA MWAMPOSA ALIVYOTOROKA

0

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira leo Feburuari 2, 2020 amezungumza na waandishi wa habari na kueleza namna waliyomsaka Mtume Apostle Boniface Mwamposa jana baada ya tukio bila mafanikio huku akikwepa usafiri wa ndege aliotegemewa kuondoka nao.

Anna Mghwira ameonesha kusikitishwa na kitendo Cha mtumishi wa Mungu huyo kutoroka baada ya kugundua watu 20 wamefariki katika ibada aliyokua akiendesha

“Tulimfuatilia, ndege yake ilikua iondoke saa sita usiku,tuliwasiliana na watu wa masuala ya anga lakini hakuwepo kwenye ndege wakati inaondoka” – RC Anna Mghwira

Aidha amesema kesho kutafanyika ibada maalumu ya kuwaaga waliofariki katika uwanja huo wa majengo

 

Leave A Reply