The House of Favourite Newspapers

Video: Sakata La Nabii Mkuu Geordavie Kuvunja Ndoa Ya Mtu, Mchungaji Mashimo Aibua Mapya…

0

Mchungaji Mashimo leo Novemba 29, 2022 amezungumza na waandishi wa habari akiwa na mwanamama Elizabeth anayedaiwa ndoa yake kuvunjika kwa sababu ya kujichora tatoo ya Nabii Mkuu Geordavie ambapo kwa pamoja wamekanusha madai hayo ya ndoa ya mwanamke huyo kuvunjika.

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply