The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Tazama Lema, Mkewe na Watoto Walivyoangua Kilio Mahakamani

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha, imemuachia huru Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbles Lema (CHADEMA) kwa dhamana ya shilingi milioni moja pamoja na wadhamini wawili wenye vitambulisho vinavyotambulika na serikali.

Baada ya kuachiwa huru, akiwa nje ya lango la mahakama hiyo na baadhi ya viongozi wa Chadema, na familia yake, ghafla mke wa Lema alijikuta akiangua kilio na kumwaga chozi hadharani, hali iliyosababisha Mbunge huyo naye pamoja na watoto wake kushindwa kujizuia nao kujikuta  wakimwaga machozi ya furaha lililochanganyika na huzuni.

TAZAMA VIDEO HAPA

Comments are closed.