The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Tazama Shuhuda Za Wagonjwa Kutoka Mlima Wa Moto

0

Usiku wa kuamkia leo Desemba 14, 2019,  umefanyika mwendelezo wa Kongamano la Shilo lililofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto, Mikocheni, jijini Dar es Salaam, chini ya Mchungaji Getrude Rwakatare ambalo lilijikita katika uponyaji wa magonjwa na wahusika kutoa shuhuda mbalimbali.

Leave A Reply