The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Tundu Lissu Akabidhi Ramani ya Jengo la Ofisi za TLS

0

RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS), Tundu Lissu amekabidhi ramani ya Jengo la Ofisi za Chama hicho leo Aprili 21, 2017 kwa wakandarasi watakajenga jengo hilo.

Akikabidhi ramani hiyo pamoja na mikata ya mradi huo, Tundu Lissu ameeleza kuwa, mradi huo utagharimu jumla ya Tsh. Bilioni 2.9 na jengo hilo litakuwa ni la ghorofa nne.

MSIKIE TUNDU LISSU

Leave A Reply