The House of Favourite Newspapers

Jafo Atangaza Mikoa Inayoongoza Kuandikisha Wapiga Kura – Video

Waziri wa TAMISEMI Jafo, amesema Mkoa unaongoza kwenye uandikishaji kwenye daftari la mpiga kura kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni Mkoa wa Pwani, ambapo Mikoa DSM, Arusha na Kilimanjaro uandikishaji wao uko chini ya asilimia 50.

 

Wananchi waliojiandikisha kupiga kura Serikali za Mitaa sasa wafikia asilimia 68 ya lengo kitaifa. Tamisemi yahimiza wananchi zaidi kuendelea kujitokeza hadi Oktoba 17, 2019 zoezi litakapohitimishwa iili wapate fursa ya kutekeleza haki yao ya kikatiba.

Comments are closed.