The House of Favourite Newspapers

Video: WAITARA Awakaanga CHADEMA Bungeni – ‘Si MLISUSA Nyie!’

0


NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa  na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara, amesema jalada la uchaguzi wa serikali za mitaa lilishafungwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliamua kususa wenyewe na kujiondoa kwenye uchaguzi huo, hivyo kama kuna chama au mtu haridhiki na mwenyekiti wa mtaa aliyechaguliwa basi afuate utaratibu wa kisheria.

Leave A Reply