The House of Favourite Newspapers

VIDEO:HOTUBA ya Rais JPM akiweka JIWE la msingi Ujenzi wa MAKTABA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli bado anaendelea na ziara yake ya kikazi mkoani mbeya ambapo siku ya leo ataweka jiwe la msingi la ujenzi wa maktaba katika chuo kikuu cha Teknolojia Mbeya pamoja na kuzindua upanuzi wa Kiwanda cha Mbeya CEMENT.

 

Katika uzinduzi huo wapo viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo waziri wa Tamisemi Selemani Jafo, Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako, naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Elias Kwandikwa.

Comments are closed.