The House of Favourite Newspapers

Vodacom Tanzania PLC yadhamini mafunzo ya Women in Data Science Dar es Salaam 2020

0

Meneja  Rasilimali watu na Maendeleo wa Vodacom Tanzania PLC, Naiman Moshi akiongea na  wahitimu wa   mafunzo ya ubunifu wa  Website “ Women in Data Science  Dar es Salaam 2020″   yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab kwa udhamini wa Vodacom Tanzania PLC kupitia programu yake ya Code like a girl yaliyowashirikisha wanafunzi wa kike  jijini Dar es Salaam.

Naiman Moshi  akibidhi zawadi ya begi  kwa Shamimu Mbaga ambaye ni mkuu wa kundi la  Mwalimu Careers Campany   akiwa na wenzake mara baada ya kuibuka washindi wa  kwanza  katika mafunzo ya ubunifu wa Website

Baadhi ya wanafunzi wa sekondari toka shule mbalilmbali jijini Dar es Salaam wakionyesha vyeti vyao vya kuhitimu mafunzo ya ubunifu wa Website Women in Data Science Dar es Salaam 2020
Leave A Reply