The House of Favourite Newspapers

Vodacom Yazungumzia Huduma za Malipo kwa Mtandao Kupitia M-Pesa

0

Meneja Biashara na Mkakati wa Mauzo wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC kanda ya kati, Baraka Siwa akizungumza kuhusu huduma za fedha zinazotolewa na kampuni hiyo wakati wa mafunzo kwa waratibu wa wafanyabiashara wa huduma ndogo za fedha lililofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.

Vodacom Tanzania ni mdau wa huduma za fedha kwa njia ya mtandao kupitia M-pesa.

Leave A Reply