The House of Favourite Newspapers

Wachezaji Wahara na Kutapika Kabla ya Mechi

0

SHIRIKISHO la Soka nchini Guinea Bissau limeripoti kwamba wachezaji wake 25 na baadhi ya viongozi wa benchi la ufundi wameugua kuhara na kutapika baada ya kula chakula cha jana usiku ambapo walikimbizwa hospitali kwa ajili ya uchunguzi wa haraka na matibabu.

 

Guinea Bissau wapo ugenini nchini Morocco ambapo leo majira ya saa 4:00 usiku watacheza na Timu ya Taifa ya nchi hiyo kwa ajili ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2022. @FIFAWorldCup #WCQ2022.

Leave A Reply