The House of Favourite Newspapers

Wakili Wa Gekul Athibitisha Kuwa Gekul Anaweza Kukamatwa Tena Endapo Kutakuwa Na Uthibitisho -Video

0
Pauline Gekul

Ephraim Philemon Kisanga wakili wa Pauline Gekul amesema Gekul anaweza kukamatwa tena.

Wakili huyo amesema baada ya Kesi ya mteja wa wake (Gekul) anaweza kukamatwa tena kama kuna uthibitisho wa kosa atakalokuwa ametuhumiwa.

Gekul ambaye ni mbunge wa Babati mjini leo Desemba 23, 2023 amefutiwa kesi ya Ukatili na unyanyasaji dhidi ya Haasheem Ally ambae alikuwa mfanyakazi.

Leave A Reply