The House of Favourite Newspapers

Wakulima Kupiga Simu Bure

0

Akiwa Bungeni Dodoma, Naibu Waziri wa #Kilimo, Hussein Bashe amesema wapo kwenye hatua za mwisho za kuanzisha Kituo cha Huduma kwa Wateja, kitakachosaidia Wakulima kuwasilisha changamoto zinazowakabili.

 

 

Amefafanua, Mkulima ataweza kupiga simu bure atakapopata pembejeo feki, tatizo la viatilifu au Ugonjwa katika Wilaya yake ili aweze kuhudumiwa kwa wakati.

 

 

Pia, amewataka Wakulima kuhakikisha wanapata Risiti ya EFD wanaponunua Pembejeo ili Serikali iweze kuchukua hatua dhidi ya Mhusika tatizo litakapojitokeza.

 

 

Leave A Reply