The House of Favourite Newspapers

Walichokisema Lowassa, Membe Msibani kwa Gwajima – Video

WANASIASA nguli nchini, Edward Lowassa na Bernad Membe, kwa nyakati tofauti wametoa maneno ya faraja kwa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dk. Josephat Mathias Gwajima, baada ya kufiwa na mama yake mzazi, Bi. Ruth Paulo Gwajima ambaye aliagwa na kuzikwa leo Salasala nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Walichokisema Lowassa, Membe Msibani kwa Gwajima

Comments are closed.