The House of Favourite Newspapers

Wanaoingia Kenya Kupimwa Virusi vya Corona

0

NCHI ya Kenya imetangaza kuwa raia wote wanaoingia nchini humo kutoka nchini China watapimwa virusi vya Corona.

Kenya imechukua hatua hiyo baada ya kuibuka kwa ugonjwa huo hatari ambao huathiri mfumo wa upumuaji kwa mwanadamu.

 

Shirika la Afya Duniani linasubiriwa kutoa mwongozo juu ya ugonjwa huo ambao umeripotiwa Chian, Marekani, Thailand na Korea Kusini.

Leave A Reply