The House of Favourite Newspapers

Wasanii Kutua Tarime Na Buku Tano Yatosha

0

WASANII mbalimbali kutoka jijini Dar es Salaam, wote kwa pamoja wanaelekea Tarime mkoa wa Mara, kwaajili ya kutambulisha buku tano ya tosha,ambayo ni hisia iliyoangalia hali ya mtanzania,kwasababu unaweza kununua hisa hiyo kwa buku tano tu.

Wasanii ambao wanatarajia kufika mkoani humo, ambapo jumapili ndio kutafanyika shoo kubwa ni Dokii, Enock Bella, Recho kizunguzungu,Mkali wenu na Masantula pamoja na Mwijaku.

STORI NA IMELDA MTEMA | GPL

Leave A Reply