The House of Favourite Newspapers

Washindi wa droo ya kwanza ya shinda nyumba kukabidhiwa zawadi leo

0

21.Mmoja wa abiria aliyekuwa akisafiri eneo la Ubungo stendi ya mabasi akiweka kuponi yake kwa ajili ya kushiriki bahati nasibu ya shinda nyumba na Global Publishers.
Na Mwandishi Wetu

BAADA ya wasomaji kadhaa nchini kujinyakulia zawadi kwenye droo ya kwanza ya Shindano la Shinda Nyumba linaloendeshwa na Kampuni ya Global Publishers iliyofanyika Januari 7, mwaka huu katika Viwanja vya Mbagala Zakhem leo wanatarajiwa kukabidhiwa zawadi zao.

12.Mwanamama huyo akichukua kuponi ili isomwe kwa ajili ya mshindi wa flana ambapo kuponi hizo zinaendelea kuingia katika droo ya shinda nyumba na Global Publishers.Akizungumza na gazeti hili, Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho alisema washindi tisa waliopatikana katika droo hiyo ya kwanza leo watakabidhiwa zawadi zao katika ofisi za kampuni hiyo zilizopo Bamaga-Mwenge jijini Dar.

IMG_3313“Leo tutawakabidhi zawadi zao wasomaji walioshinda katika droo ya kwanza na bado tunaendelea kutoa zawadi mbalimbali kwa wasomaji wetu katika droo ndogondogo zilizobaki mpaka tutakapofika droo kubwa ya nyumba na unapoendelea kukata kuponi kwa wingi ndivyo unavyoongeza nafasi ya kushinda nyumba,” alisema Mrisho.

IMG_3325Wasomaji waliojinyakulia zawadi hizo ni Happiness Haule (Mburahati-Dar) aliyepata TV na king’amuzi, Mwantanga Ally (Pugu Kajiungeni-Dar) simu ya kisasa, Veronica Jastin (Mtoni Mtongani-Dar), Doreen Michael Samwel (Kigamboni-Dar),  Juma H.Matumla (Manzese-Dar), Mohamed S. Ally (Kimara-Dar), Emmanuel O. Kalinga (Makolongoni-Iringa) wote king’amuzi cha TING, Jamila A. Shaban (Mabibo-Dar) dinner set na Donasian G. Msaki (Kimara-Dar) bed sheet.

3.Wasomaji wa magazeti ya Global eneo la Kawe wakiyachangamkia kuyanunua kwa muuzaji (katikati) ili kushiriki shindano hilo.Bado zawadi mbalimbali zinaendelea kutolewa katika droo ndogondogo nne mpaka kufikia ile kubwa ya mwezi wa tano hivyo wasomaji wanatakiwa kuendelea kukata kuponi kwa wingi katika magazeti ya Amani, Uwazi, Risasi Jumatano na Risasi Jumamosi, Ijumaa, Ijumaa Wikienda na yale ya michezo  ya Championi.

BAADA ya wasomaji kadhaa nchini kujinyakulia zawadi kwenye droo ya kwanza ya Shindano la Shinda Nyumba linaloendeshwa na Kampuni ya Global Publishers iliyofanyika Januari 7, mwaka huu katika Viwanja vya Mbagala Zakhem leo wanatarajiwa kukabidhiwa zawadi zao.

Akizungumza na gazeti hili, Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho alisema washindi tisa waliopatikana katika droo hiyo ya kwanza leo watakabidhiwa zawadi zao katika ofisi za kampuni hiyo zilizopo Bamaga-Mwenge jijini Dar.

“Leo tutawakabidhi zawadi zao wasomaji walioshinda katika droo ya kwanza na bado tunaendelea kutoa zawadi mbalimbali kwa wasomaji wetu katika droo ndogondogo zilizobaki mpaka tutakapofika droo kubwa ya nyumba na unapoendelea kukata kuponi kwa wingi ndivyo unavyoongeza nafasi ya kushinda nyumba,” alisema Mrisho.

Wasomaji waliojinyakulia zawadi hizo ni Happiness Haule (Mburahati-Dar) aliyepata TV na king’amuzi, Mwantanga Ally (Pugu Kajiungeni-Dar) simu ya kisasa, Veronica Jastin (Mtoni Mtongani-Dar), Doreen Michael Samwel (Kigamboni-Dar),  Juma H.Matumla (Manzese-Dar), Mohamed S. Ally (Kimara-Dar), Emmanuel O. Kalinga (Makolongoni-Iringa) wote king’amuzi cha TING, Jamila A. Shaban (Mabibo-Dar) dinner set na Donasian G. Msaki (Kimara-Dar) bed sheet.

Bado zawadi mbalimbali zinaendelea kutolewa katika droo ndogondogo nne mpaka kufikia ile kubwa ya mwezi wa tano hivyo wasomaji wanatakiwa kuendelea kukata kuponi kwa wingi katika magazeti ya Amani, Uwazi, Risasi Jumatano na Risasi Jumamosi, Ijumaa, Ijumaa Wikienda na yale ya michezo  ya Championi.

Leave A Reply