The House of Favourite Newspapers

Wastaafu Watembelea SGR Morogoro

0

Viongozi wastaafu wakiongozwa na marais wastaafu wa awamu ya pili na ya nne, Ali Hassan Mwinyi na Jakaya Mrisho Kikwete, leo Julai 6, 2021 wamewasili wilayani Kilosa, Morogoro kwa ajili ya ziara maalum ya kutembelea na kujionea maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR).

Baada ya kuwasili kwa helikopta maalum, viongozi hao wastaafu wamepokelewa na mwenyeji wao, Martin Shigella ambaye ndiye Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.

Leave A Reply