The House of Favourite Newspapers

Watu Sita Wahofiwa Kufariki Baada ya Ndege Mbili Kugongana Angani Marekani -Video

0

WATU 11 wanahofiwa kufariki dunia baada ya ajali ya ndege mbili kugongana angani na kuungua moto kwenye maonesho ya WWII huko Dallas Texas Marekani jana Jumamosi Novemba 12, 2022.

 

Ndege hizo ambazo ni za kizamani ni Boeing B-17 ilikuwa na watu 5 iliyotengenezwa 1930 na nyingine ni Bell P-63 iliyokuwa na mtu mmoja.

Leave A Reply