The House of Favourite Newspapers

Wazanzibari wa Marekani waandamana kulaani ZEC kufuta matokeo

0

ZanzibarWAZANZIBARI waishio Marekani wameandamana mpaka nje ya Ikulu ya Marekani wakipinga maamuzi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kufuta matokeo ya uchaguzi.

Wazanzibar hao wameiomba Marekani iingilie kati mgogoro wa Zanzibar ili kuepusha machafuko na kuweka sawa mustakabari wa Zanzibar kuhusu matokeo ya chaguzi huo.

Leave A Reply