The House of Favourite Newspapers

Waziri Bashungwa Amlilia Mngereza BASATA

0

WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michgezo, Innocent Bashungwa ameeleza masikitiko yake kufuatia kifo cha aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Godfrey Mngereza ambaye alifariki dunia usiku wa kuamkia jana.

 

“Natoa pole kwa familia yake, watumishi wa BASATA, wasanii na wadau mbalimbali wa sanaa. Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa, Jina lake lihimidiwe.”

Leave A Reply