The House of Favourite Newspapers

Waziri Mkuu kuongoza Wakazi wa Chato Kuaga Mwili wa JPM – Video

0

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo Alhamisi, Machi 25, 2021, ataongoza wakazi wa Chato na wananchi wa Mikoa ya jirani kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, katika Uwanja wa Miguu uliyopo Chato.

 

Akizungumza wa waandishi wa habari, Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt Hassan Abbas, amesema leo ni siku maalum kwa wakazi wa chato kuaga mwili wa mpendwa wao.

Leave A Reply