The House of Favourite Newspapers

Waziri Shonza Awageukia Wabunifu wa Mavazi

0
Waziri Shonza (katikati) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani)

Naibu Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza amewataka wabunifu mavazi nchini kuungana na Mbunifu mwenzao, Ally Rehmtullah aliyewapa fursa ya kutumia ofisi yake iliyopo Barabara ya Chole, Masaki Dar es Salaam.

Akiikagua ofisi ya Ally Rehmtullah (kulia) aliyowapa wabunifu wenzake kufanyia kazi zao kwa pamoja.

 

Rehmtullah akimuonesha Shonza moja ya kazi ubunifu zinazofanywa kwenye ofisi hiyo.

 

Shonza amempongeza Rehmtullah kwa kujitolea ofisi hiyo ambayo itasaidia kuwaunganisha wabunifu hao kubadilishana ujuzi na kuboresha vipaji vyao.

 

Si mavazi tu bali hata mabegi na bidhaa nyingine nazo zinafanyiwa ubunifu kwenye ofisi hiyo kama anavyooneshwa Waziri Shonza pichani.

 

Aliongeza kwa kusema umoja huo utawapa mafanikio makubwa na kuweza kulipa kodi kwa serikali kama alivyofikia mwenzao Rehmtullah.

Picha ya pamoja.

HABARI: NEEMA ADRIAN | PICHA: RICHARD BUKOS/GPL  

Leave A Reply