The House of Favourite Newspapers

Waziri wa Maliasili na Utalii Azindua mkakati mpya wa kuendeleza miti ya mianzi

0

Februari 19, 2024, Angellah Kairuki, Waziri wa Maliasili na Utalii, amezindua mkakati mpya wa kuendeleza miti ya mianzi nchini. Kwa mwaka, miti hiyo duniani, ina biashara zinazofikia Dola Bilioni 60 ikiwemo katika ujenzi, kutengeneza samani na vifaa vya mapambo na matumizi anuai.

Leave A Reply