The House of Favourite Newspapers

Wewe Nitakupeleka Polisi

0

Padri alikuwa akiwaungamisha waumini wa kanisa lake huku kila mmoja akitaja dhambi zake waziwazi moja baada ya nyingine kisha padri anawaombea kwa Mungu na kuwataka wasirudie tena. Ikaja zamu ya muumini mmoja…

“…dhambi zangu ni hizi…

nilisema uongo, niliiba injini ya gari kwa yule tajiri pale mwembeni, nilizini na mke wa yule mfanyabiashara wa samaki, nilimshawishi demu wangu kutoa mimba…”

Padri: (akamkatisha) wewe nitakupeleka polisi, nisubiri nje.

Leave A Reply