The House of Favourite Newspapers

Will Smith Akipukutisha Kitambi Chake

0

Mshindi mara 4 wa Tuzo za Grammy, Muigizaji, Rapa na Mtayarishaji wa Filamu wa nchini Marekani, Willard Carroll Smith Jr almaarufu Will Smith hatimaye amerudi kwenye muonekano wake wa zamani baada ya kukesha gym.

Smith mwenye umri wa miaka 54 aliweka wazi kutofurahishwa na muonekano wa mwili wake, marabaada ya kuwekwa vikwazo vya kutotoka majumbani kufuatia mlipuko wa Virusi vya Corona (Lockdown).

Muigizaji huyo aliwahi kusikika akisema ‘’Worst Shape of my life’’ (Muonekano mbaya kuwahi kutokea maishani mwangu) na hapo ndipo juhudi zake za kufanya mazoezi zilipoanzia, Video inayosambaa mitandaoni inamuonesha Staa huyo akifanya mazoezi kwa juhudi ili asipate tena kitambi.

Cc;  @bakarimahundu

Leave A Reply