#GlobalCelebrityUpdates: Wiz Khalifa , Amber Rose Na Sebastian Wala Good Time Kama Familia – (Pichaz)

Stori inayotrend wiki hii kwenye picha za #GlobalCelebrityUpdates ni hii ya Amber Rose na Wiz Khalifa kujumuika kwa pamoja kama familia, kusherekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wao mpendwa Sebastian. Licha ya kuwa mastaa hao wawili wameachana kitambo, jana Wiz na Amber waliweka tofauti zao pembeni na kuenjoy siku hiyo special kwa ajili ya mtoto wao.

Kupitia page yake ya Instagram, Amber Rose alipost picha kuhusu siku hiyo na caption inayosema:

I can’t believe my baby is 4 years old! Happy Birthday Pumpkin😩😍🙏🏽 #sebastiantaylorthomaz 📸 by @iamkevinwong

Wakiwa kwenye costumes za Batman na Batwoman, nimefanikiwa kuzinasa picha kumi na moja za Amber Rose, Wiz Khalifa na Sebastian wakila good time na kuenjoy kwa pamoja na kukuwekea hapa chini:

PICHA: Instagram @Amberrose

IMEANDIKWA NA: Sandra Brown.

Subscribe kwenye YouTube channel yetu hapa; Global TV Online kwa updates za burudani, stori zote za mastaa na za kila siku pia kaa karibu na sisi kwa kutu-follow Instagram: @globalpublishers

 


Loading...

Toa comment