The House of Favourite Newspapers

Wolper na Ishu ya Mwanaye Kuwa Staa

0

STAA wa Bongo Movies, Jacquiline Wolper maarufu (Mama P) ameongeza kuwa kwa sasa anashindwa kumtambua mtoto wake atakaa kwenye sekta gani ingawa bado anamuona mpole sana ila akitaka kuwa staa yeye hana pingamizi.

 

Kuhusu ratiba zake kubadilika ameeleza kuwa ratiba zake zimebadilika kwa kiasi kikubwa sana na yote ni kwa sababu ya mtoto.

 

Kuhusu suala la tuzo amewaomba waandaaji watoe tuzo kwa usawa na sio upendeleo kama tuzo zilizopita ambazo zilizua mijadala mikubwa sana kwani huwa zinapunguza heshima kwa baadhi ya wasanii.

Leave A Reply