The House of Favourite Newspapers

Yaliyomo kwenye Gazeti la AMANI leo

Wemaz

Hapa kazi tu! Gari la Wema mikononi mwa Rais Magufuli

-Ni kuhusu ulipaji kodi TRA

-Yamo magari ya akina Diamond, Kajala, Wolper na mastaa wengine kibao

-Hali ni tete, mastaa wahaha

-Unataka kufahamu undani wake imekuwaje?

Wachungaji wanne watimka kwa Gwajima

-Watofautiana na Gwajima kuhusu matumizi ya fedha za kanisa

-Unataka kuwafahamu wachungaji hawa? Nini kimetokea mpaka wakaamua kutimka kwa Gwajima?

Wolper akivishwa pete tu… kazi kwisha kabisa

-Unataka kufahamu mapya yaliyojili kuhusu mrembo huyo?

Ni masikitiko makubwa

Mke afariki dunia, mme ahaha na mapacha watatu

Hii sasa kali ya mwaka

-Amkimbia mama mkwe, kisa kukeketwa!

-Ilikuwa akeketwe…. aolewe na shemeji yake

_Unataka kufahamu undani wa tukio hilo la aina yake?

Kufahamu undani wa haya na mengine mengi, Soma Gazeti la AMANI, leo Alhamisi

Comments are closed.