The House of Favourite Newspapers

Yanga Yaichapa Azam Bao 1-0, Yapaa Kileleni

0

MCHEZO  wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Azam Complex umekamilika kwa wenyeji Azam FC kuyeyusha jumla pointi tatu na kufungwa bao moja baada ya dakika 90 kukamilika.

Bao pekee la ushindi kwa Yanga limefungwa na Deus Kaseke dakika ya 48.

Ushindi huo unaifanya Yanga ifikishe jumla ya pointi 28 na kuwa nafasi ya kwanza.

Leave A Reply