The House of Favourite Newspapers

ZAHERA Amchambua Ajibu Adai Ana Akili Kuliko Wachezaji Wote – Video

Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa jibu ni mchezaji wmeye akili kuliko wachezaji wote lakini hana kasi kama wachezaji wengine. TIMU ya Yanga wameibuka na ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Alliance jana Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.

 

Mabao ya Yanga yamefungwa na Heritier Makambo, Mrisho Khalfan Ngassa na Ibrahim Ajibu. Yanga wamefikisha pointi 19 na kutinga katika nafasi ya pili huku Azam FC wakiwa na pointi 21 katika nafasi ya kwanza.

Comments are closed.