The House of Favourite Newspapers

Zimbambwe Yatoa Tamko Kuhusu Kutumia Fedha Mpya

SERIKALI ya Zimbabwe imekanusha taarifa iliyotolewa na Eddie Cross kuhusu kuanza kutumika kwa fedha mpya mwezi Novemba 2019, ikisema mtu huyo hazungumzi kwa niaba ya serikali hiyo wala Benki Kuu, na kwamba alichosema ni mawazo yake binafsi.

Comments are closed.