The House of Favourite Newspapers

Zitto Kabwe ‘ACHARUKA’ Bungeni “Tusije Kulaumiana, Siasa Itakuwa Ngumu” – VIDEO

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, amesimama Bungeni leo Januari 29, kuchangia hoja katika muswada wa mabadiliko madogo ya sheria ya vyama vya siasa uliowasilishwa Bungeni hapo Na Waziri Jenista Mhagama.

Comments are closed.