The House of Favourite Newspapers

Zitto Kabwe Akutwa na Covid-19

0


Kiongozi Mkuu wa ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe amesema alipimwa na kukutwa Virusi vya Corona (COVID 19) baada ya kupatwa na Mafua.

Zitto anasema “Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena..”

Ameshauri “Nawaomba mwendelee kuchukua tahadhari kwa kuvaa Barakoa na kujiepusha na mikusanyiko. Corona bado ipo”.

Leave A Reply