The House of Favourite Newspapers

“Zitto Kabwe Amuombe Msamaha Mwl Nyerere” – MCHANGE – VIDEO

Muswada wa mabadiliko ya Vyama vya Siasa umeendelea kuzua gumzo ndani na nje ya Bunge, ambapo wanasiasa kutoka vyama mbalimbali wamekuwa wakiuchambua na namna wanavyoona.

Miongoni mwa wanasiasa hao ni Habibu Mchange ambaye ni kada wa CCM ambaye amezungumza na waandishi wa habari leo Januari 30 na kuwasilisha mawazo yake juu ya muswada huo huku akimaliza kwa kumtaka Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, kumuomba radhi baba wa Taifa Mwl Nyerere., kutokana na kauli alizozitoa jana Bungeni wakati akichangia hoja ya muswada huo.

Comments are closed.