The House of Favourite Newspapers

🔴#LIVE: JPM Aongoza Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma

0

MKUTANO Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa unaofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Jumamosi, Julai 11, 2020 jijini Dodoma, wajumbe 1,886 wanatarajiwa kushiriki. mkutano huo unoongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli.

AJENDA:
1. Kufungua Mkutano
2. Marekebisho ya Katiba ya CCM ya Mwaka 1977, Toleo la 2017
3. Taarifa za Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2015-2020 za SMZ, SMT na CCM
4. Uteuzi wa Mgombea wa CCM wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
5. Kufunga Mkutano.

Leave A Reply