The House of Favourite Newspapers

Yanga Wana Jambo Lao Na Waandishi Wa Habari-Video

0

KUELEKEA Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Yanga SC vs Geita Gold, utakaochezwa kesho katika dimba la Mkapa jijini Dar, Ofisa Habari na msemaji wa timu ya Yanga wamezungumza namna walivyojiandaa kuondoka na alama tatu.

Leave A Reply