Eng. Hersi: Wazee wa Yanga wametuheshimisha
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amewashukuru wazee wa Yanga kwa kufanikisha Wazee Day kwenye mchezo wa dabi dhidi ya Watani zao Simba Sc ambapo Wananchi walitakata kwa ushindi wa bao 2-1.
Hersi amesema hayo jana wakati…