The House of Favourite Newspapers

Isabela Amfagilia Gwajima

Bella

UFAGIO! Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda amemfagilia Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kwa jinsi anavyojiamini kiasi kwamba yupo tayari kuhudhuria ibada zake.

Gwajima

Akizungumza na Za Motomoto News, Isabela alisema anatamani kuwa karibu na  mchungaji huyo kwani anayejiamini, anahubiri na kutoa mafundisho kwa waumini wake bila hofu hivyo anatarajia kuanza kwenda kuhudhuria ibada anazoziendesha kanisani kwake kila wakati.

“Nampa big up sana Gwajima maana anajiamini hivyo nitaanza kwenda kanisani kwake ili kuhudhuria ibada zake kwa lengo na kujifunza mengi,” alisema

 

Comments are closed.