The House of Favourite Newspapers

Amanda: Afunguka Bwana Kumpiga Stop Kuigiza

0
Mrembo mwenye shepu yake Bongo Movies, Amanda Posh.

MREMBO mwenye shepu yake Bongo Movies, Amanda Posh amepangua uvumi uliozagaa mtaani kuwa, amezuiwa kuigiza na mchumba wake kwa kusema si kweli.

Amanda alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita alipokuwa akipiga stori

Muonekano wa Shepu yake mubashara.

na mwanahabari wetu ambaye alimbananisha swali kuhusu ukimya wake kwenye gemu na madai hayo ya kuzuiwa kuigiza.

“Bwana hawezi kunizuia kuigiza sema nilikuwa tu bize na masuala yangu binafsi ya kibiashara ndio maana kwa zaidi mwaka sasa nimekuwa kimya kwenye sanaa, ila nitarudi tu maana sanaa ndio kila kitu kwangu,” alisema Amanda.

Leave A Reply