Meridianbet Yachangia Mashine za Sanitizer Mwenge Hospitali
Kama kawaida wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanaendelea na harakati zao za kurejesha kwenye jamii ambapo leo hii waliigusa hospitali ya Mwenge kwa kuwapelekea mashine maalumu kwaajili ya kuwekea sabuni na sanitizer lengo…