The House of Favourite Newspapers

21 Savage Kuachia Albamu Mpya

0

RAPA maarufu duniani, 21 Savage ametangaza ujio wa album mpya ikiwa ni mwaka mmoja na nusu tangu atoe albam yake. Kupitia akaunti yake ya Twitter yake, 21 Savage ameandika “No album in a year and a half tho…it’s time,”.

 

Mizuka ya 21 Savage imeamshwa na mafanikio makubwa ya wasanii wenzake kwenye chati za Billboard Hot 100 zilizoonyesha wasanii walioingiza ngoma nyingi zaidi mwaka 2022.

 

Wasanii The Weekend ana ngoma 17, Gunna Gunna ’15’, Drake ‘5’, Justin Bieber ‘5’ na 21 Savage ‘4’. Mwishoni mwa mwaka 2021, 21 Savage alitoa ngoma “No Debate” na “Big Smoke” na kusikika kwenye colabo za wasanii J. Cole, Drake, DJ Khaled, Nardo Wick na Pop Smoke.

Leave A Reply